
Ikiwa ni mwezi mmoja baada ya FC Barcelona kuwa mabingwa wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE,LIGI YA HISPANIA na COPA DEL REY.Wapinzani wao wakuu Real Madrid CF,wameonekana wakitaka kuvunja utawala huo wa Barcelona kuanzia nchini Hispania hadi Barani Ulaya.Real Madrid Wamefanikiwa kuwasajili wachezaji mahiri katika ulimwengu huu wa soka ambao ni Cristiano Ronaldo,Ricardo Izecson Dos Santos Leite "KAKA`",kARIM BENZEMA,RAUL ALBIOL na wengine ambao wanahusishwa na kuhamia klabuni hapo akiwemo mchawi wa winga wa kifaransa anayekipiga katika klabu ya Fc Bayern Munchen,FRANK RIBERY`.
Kutokana na usajili huo wa gharama kubwa uliofanywa na Rais wa Real Madrid Florentino Perez,JE UNADHANI REAL MADRID WATAWEZA KUTWAA MAKOMBE YOTE KATIKA MASHINDANO WATAKAYOSHIRIKI?. TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA UJUMBE WA MAANDISHI KATIKA SIMU YAKO WENYE NENO "NDIYO" kama watanikiwa au "HAPANA" KAMA UNADHANI HAWATAWEZA KUFANYA HIVYO KWENDA NAMBA +255716239490.